United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office Labour,Employment,Youth and People with Disability

Labour Market Information

Maafisa wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachuo wa Mbeya University of Science and Technology wakati wa mafunzo ya "Job Search Workshop" yaliyofanyika mwezi Januari, 2019 Mkoani Mbeya. Wa kwanza kulia ni Dean of Student, na Mwenye tai ya Mistari ni Kaimu Mkuu wa Chuo hicho.