United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office Labour,Employment,Youth and People with Disability

JobSearch Workshop

Maafisa wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) wakiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mbeya wakati wa Mafunzo ya elekezi ya kuwajengea uwezo watafutakazi. Wa kwanza kulia ni Dean of Student na Katikati mwenye tai ya Mistari ni Kaimu Mkuu wa Chuo.