United Republic of Tanzania

Prime Minister's Office Labour,Employment,Youth and People with Disability

TANGAZO

TUNAPENDA KUWATANGAZIA UMMA WA WATANZANIA YAKUWA ILE HUDUMA YA KUTOA VIBALI KWA WATANZANIA WANAOENDA KUFANYA KAZI ZA NDANI NJE YA NCHI IMEREJESHWA TENA NA UTARATIBU NI ULE ULE KAMA AWALI.